Kliniki ya Magonjwa ya Ndani
Posted on: December 26th, 2024Kliniki ya idara hii hufanyika siku za Jumatatu na Ijumaa kuanzia saa 3.00 asubuhi hadi saa 9.30
mchana. Kliniki ni maalum kwa magonjwa ya Kisukari, shinikizo la Damu (Hypertensio), matatizo
ya figo na moyo, magonjwa ya kuambukiza, saratani, matatizo ya akili pamoja na matatizo
mengine yasiyo ya upasuaji au magonjwa ya via vya uzazi na ujauzito.