KAMBI YA MADAKTARI BINGWA WA MIFUPA NA MFUMO WA MKOJO
Saturday 21st, December 2024
@Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Sumbawanga
Kambi maalumu ya Madaktari Bingwa wa Mifupa na Mfumo wa Mkojo kutoka Hospitali ya Rufaa ya Kanda Mbeya,
Huduma za kibingwa zitakazotolewa ni;
- Tiba na upasuaji wa Magonjwa ya Mifupa,
- Tiba na upasuaji wa Magonjwa ya Mfumo wa Mkojo.