Our Services

Huduma hii ya upasuaji wa kawaida (General Surgery) na Upasuaji wa Mifupa (Orthopaedic Surgery) hutolewa na madaktari bingwa wa upasuaji na Mifupa waliopo hospitali ya mkoa

readmore

Huduma hutolewa kwa wagonjwa wanaolazwa. 

readmore

Karibu ili kupata Vipimo vya Maabara, X Ray na Ultrasound

readmore

Huduma  kwa ajili ya wagonjwa wa nje (Wasiolazwa)

readmore

Hospitali inatoa huduma za uzazi na kujifungua. Huduma hizi hutolewa kila siku na madaktari bingwa wa magonjwa ya uzazi na akina mama. Wananchi wanashauliwa kufuata utaratibu wa rufaa kabla ya kuja kutibiwa Hospitali Ya Mkoa. Pia tunapenda kuihimiza jamii...

readmore