Mkuu wa mkoa wa Rukwa Leo tarehe 14 Februari 2024 amekabidhi magari mawili ya huduma za Afya na Usimamizi kwa Uongozi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Sumbawanga katika ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa... Read More
Habari
Takribani wagonjwa 392 wametibiwa katika kambi rasmi ya Madaktari Bingwa wa Tiba na Upasuaji wa Magonjwa ya Mifupa na Mfumo wa Mkojo katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Sumbawanga. Kambi ... Read More
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Afya Dkt Grace Maghembe amefanya ziara katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Sumbawanga amewapongeza Wahudumu wa Hospitali kwa kutoa huduma bora kwa wananchi wa Mkoa ... Read More
KAMBI YA MADAKTARI BINGWA WA MIFUPA NA MFUMO WA MKOJO Kambi maalumu ya Madaktari Bingwa wa Mifupa na Mfumo wa Mkojo kutoka Hospitali ya Rufaa ya Kanda Mbeya, kuanzia tarehe 5 - 9 Februari... Read More
Timu ya wataalam wa Wizara ya Afya leo tarehe 22 Septemba 2023 imefanya zoezi la Conditional Survey katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Sumbawanga wakiongozwa na mwenyeji wao Mganga m... Read More
Leo tarehe 21 Septemba 2023 Kampeni maalum ya chanjo dhidi ya ugonjwa wa Polio imezinduliwa rasmi mkoani Rukwa. Akizungumza katika uzinduzi huo kwa niaba ya Waziri wa Afya Ummy... Read More
Leo tarehe 15 Septemba 2023 Mganga Mkuu wa Serikali Prof Tumaini Joseph Nagu amefanya ziara katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Sumbawanga kukagua huduma zinazotolewa pamoja na miundombinu ya ... Read More
Leo tarehe 4 Septemba 2023 wataalamu wa afya katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Sumbawanga wamepatiwa semina elekezi kuhusiana na umuhimu wa kukamilisha chanjo kwa watoto. Akizungumza na w... Read More
Leo wataalamu wa afya wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Sumbawanga wamepata elimu ya tiba mtandao (Tele Medicine) kutoka kwa wataalamu wa tehama kutoka Dar es salaam Institute of Technology (DIT... Read More
Mkuu wa Wilaya Ya Kalambo Mwl.Julieth Binyura kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Rukwa akizindua Kamati ya Ujenzi wa Jengo la EMD la Hospitli. Kutoka kulia ni Mstahiki Meya wa manispaa ya Su... Read More