MKURUGENZI WA TIBA ATEMBELEA SUMBAWANGA

Posted on: September 30th, 2019

Mkurugenzi wa Tiba Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Grace Magembe katika picha ya pamoja na wajumbe Timu Ya Uendeshaji Hospitali (HMT) alipotembelea hospitali ya rufaa Ya Mkoa Sumbawanga Julai, 2019