MAKABIDHIANO YA HOSPITALI

Posted on: September 17th, 2019

Katibu Tawala wa Mkoa wa Rukwa Ndg. Benard Makali akisain makabidhiano ya Hospitali na Mganga Mfawidhi wa Hospitali Dkt. John D.Lawi kwa niaba ya Katibu Mkuu(Afya) na Mhakiki Mali wa Mkoa Ndg. Julius K.Mwanganikani kwa niaba ya Katibu Mkuu (Fedha na Mipango)