Kliniki Za Idara za Upasuaji Maalum (Macho, Meno, ENT)
Posted on: December 26th, 2024Kliniki za Afya ya Kinywa na meno na Kliniki za macho huendeshwa kila siku kuanzia Jumatatu
hadi Ijumaa kuanzia saa 3.00asubuhi hadi saa 9.30 mchana. Kliniki za mfumo wa Pua, Koo na
Masikio pia huendeshwa kama ilivyo kwa kliniki za meno na macho.