Kliniki ya Magonjwa ya Akina Mama na Uzazi

Posted on: May 9th, 2025

Hospitali inao Madaktari Bingwa wa Magonjwa ya akina mama na watoto wanaoendesha Kliniki

kwa siku za Jumanne na Alhamisi kuanzia saa 3.00 asubuhi hadi saa 9.30 mchana