KAMBI YA MADAKTARI BINGWA WA MIFUPA NA MFUMO WA MKOJO

Posted on: January 25th, 2024

KAMBI YA MADAKTARI BINGWA WA MIFUPA NA MFUMO WA MKOJO

Kambi maalumu ya Madaktari Bingwa wa Mifupa na Mfumo wa Mkojo kutoka Hospitali ya Rufaa ya Kanda Mbeya, kuanzia tarehe 5 - 9 Februari 2024 katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Sumbawanga.

Huduma za kibingwa zitakazotolewa ni;

  • Tiba na upasuaji wa Magonjwa ya Mifupa,
  • Tiba na upasuaji wa Magonjwa ya Mfumo wa Mkojo.

Wakazi wa mkoa wa Rukwa na mikoa jirani wote mnakaribishwa.