UZINDUZI WA KAMATI YA UJENZI WA JENGO LA HUDUMA ZA DHARULA

Posted on: September 29th, 2019

Mkuu wa Wilaya  Ya Kalambo Mwl.Julieth Binyura kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Rukwa akizindua Kamati ya Ujenzi wa Jengo la EMD la Hospitli. Kutoka kulia ni Mstahiki Meya wa manispaa ya Sumbawanga Ndg.  Malisawa,Dkt. Boniface D. Kasululu(Mganga Mkuu wa Mkoa wa Rukwa), Dkt. Chrisant Mzindakaya akimwakilisha Mwenyekiti wa Bodi ya Hospitali na Dkt. John D. lawi (Mganga Mfawidhi Hospitali ya Rufaa Ya Mkoa Sumbawanga)