Upasuaji

Posted on: April 10th, 2025

Huduma hii ya upasuaji wa kawaida (General Surgery) na Upasuaji wa Mifupa (Orthopaedic Surgery) hutolewa na madaktari bingwa wa upasuaji na Mifupa waliopo hospitali ya mkoa